#HABARI: Hali ya taharuki imetokea katika Mtaa wa Viwandani mjini Shinyanga baada ya mwili wa kichanga kugundulika ukiwa ndani ya mfuko wa takataka. Kwa mujibu wa shuhuda, amekibaini kichanga hicho wakati anakusanya chakula cha kuku kwenye jalala la taka nje ya nyumba hiyo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.