#HABARI: Wananchi wa Kata ya Muungano Wilaya ya Mtwara Vijijini, wamesema kukamilika kwa shule mbili za sekondari katika kata hiyo, kumeondoa utoro na mdondoko kwa wanafunzi wa eneo hilo, waliokuwa wakilazimika kutembea umbali wa kilomita ishirini kufuata elimu.

Wakizungumza baada ya waandishi wa habari kutembelea Shule ya Sekondari Lyowa na Shule ya Sekondari Muungano baadhi ya wananchi na wanafunzi wanaeleza magumu waliyokuwa wakipita hapo awali.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *