#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaongoza kwenye kura za maoni kwa asilimia 84.5 dhidi ya wagombea wenzake wanaochuana katika nafasi hiyo ya juu kabisa kwenye muundo wa Serikali, Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika wiki moja baadaye Oktoba 29, 2025.

Takwimu hizo ni kulingana na utafiti wa kura za maoni uliofanywa na Kituo cha Sera za Kimataifa kwa Ukanda wa Afrika (Centre for International Policy- Africa (CIP- Afrika) ambapo Mkurugenzi wa Tafiti na Uchapishaji wa Kituo hicho Bw. Thabit Mlangi amesema mgombea anayefuata katika kura hizo za maoni ni Mhe. Salum Mwalimu, Mgombea wa Urais kupitia CHAUMMA akiwa na asilimia tatu za kura za maoni.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *