#HABARI: Siku chache baada ya kuzikwa kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga katika Kaunti ya Siaya, Naibu Rais Kithure Kindiki amewataka Wakenya kuwa na utulivu kufuatia kifo cha Raila huku akiwataka kumheshimu Raila kutokana na mchango mkubwa aliotoa kwa Umoja wa Taifa la Kenya.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *