#HABARI: Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Bw. Majalio Kyara amesema endapo ataingia Madarakani atahakikisha anatokomeza vitendo vya rushwa kwa kivitendo, ili Watanzania waweze kupata haki hasa katika utoaji wa huduma katika sekta mbalimbali zinazowagusa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *