#HABARI: Zaidi ya wapiga kura 80,000 katika Jimbo la Babati Mjini, wanatarajiwa kupiga kura kwenye jumla ya vituo 206, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.

Akizungumza na ITV, msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Babati Mjini, Simon Mumbe, amesema maandalizi yamekamilika na kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kupiga kura.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *