#HABARI: Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Majengo na Tambukareli, wilayani Manyoni, mkoani Singida, wameondokana na adha ya kusoma wakiwa wamekaa chini pamoja na kuchangia dawati moja wanafunzi wanne hadi watano hali iliyokuwa ikisababisha kutofanya vizuri kitaaluma, mara baada ya Mamlaka ya Usimamizi na Uhifadhi Wanyama Pori Tanzania (TAWA) Kanda ya Kati kutoa msaada wa madawati kwa shule hizo.
Wakieleza jinsi walivyokuwa wakipata shida wanafunzi pamoja na walimu wamethibitisha adha hiyo muda mfupi baada ya kukabidhiwa msaada wa madawati hayo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania