#HABARI: Mnyama adimu kuonekana, Kakakuona ameonekana akiwa na mtoto wake katika Kijiji cha Lilondo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma, huku akitarajiwa kutabiri mambo mbalimbali ikiwemo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, ambapo hata hivyo licha ya kuwekewa vitu mbambali alishindwa kutabiri na kubaki amelala.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Bw. Wilman Ndile, amesema wanamchukua mnyama huyo na mtoto wake na kumpeleka kwenye bustani ya wanyamapori ya Ruhila kumhifadhi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow ITV Tanzania RadioOneStereo
CapitalRadioTanzania