#HABARI: Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeeleza kuwa hitilafu za kiuendeshaji ndio chanzo cha ajali ya Treni ya Mwendokasi (SGR), iliyotokea asubuhi ya leo Oktoba 23, 2025 katika eneo la Ruvu mkoani Pwani ikielekea Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, timu ya wataalamu wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, uongozi wa TRC na vyombo vya ulinzi na usalama wamefika eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.