#HABARI: Zikiwa zimesalia siku chache ili kufanyika Uchaguzi Mkuu, Mgombea Mwenza nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dokta Emmanuel Nchimbi akiwa wilayani Chunya mkoani Mbeya amesema Serikali ijayo itakayochagulia imedhamiria kuweka mazingira rafiki kwa wachimbaji wadogo wa madini ikiwa ni pamoja na kuwapa kipaumbele cha upatikanaji wa leseni za maeneo ya uchimbaji madini.
Dokta Nchimbi ambaye pia amefanya kampeni zake wilayani Kyela amesema mgombea nafasi ya Urais Dokta Samia Suluhu Hassan, anastahili kuendelea kuongoza nchi kutokana na ufanisi na ubunifu wa usimimizi wa miradi alioufanya katika kipindi cha miaka minne na nusu ya uongozi wake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.