Dakar Senegal – Wataalamu wa afya wameonya  kuhusu magonjwa yasiokuwa na tiba kuendelea kusababisha maafa, iwapo raia hapa Africa hawatabadilisha mitindo wa maisha.  Prof Mary Abukutsa, mtafiti wa vyakula asili anasema mbinu pekee ya kupambana na magonjwa ya kisasa ni kula vyakula ya kiasili.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Benson Wakoli amezungumza na prof Mary Abukutsa akiwa Dakar Senegal.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *