#HABARI: Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), umetoa onyo kali kwa watu wote wanaovamia na kufanya shughuli za maendeleo katika maeneo ya Serikali bila ruhusa, kwa kujua au kutokujua ikisisitiza kuwa hawatasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wavamizi hao.

Onyo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Miliki kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) FRV. Said Mndeme, wakati wa ziara ya kukagua maeneo mbalimbali ya TBA na kuweka mipaka ikiwemo eneo la Simbani Mwendapole lenye hekari 92.1 Kibaha, mkoani Pwani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *