#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwela mkoani Rukwa, ndugu Josephat Kayombo, amesema watu 237,090 ambao walijitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura,wanatarajia kupiga kura Oktoba 29 /2025 katika vituo 598 ili kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania