Kungwi wa Kisasa, Eva Mrema amesema ni rahisi kwa mwanamke kujifunza kumpenda mwanaume asiyempenda ila ni vigumu kwa mwanaume kuingia kwenye uhusiano wenye malengo na mwanamke asiyempenda.

Ushawahi kumpenda mtu asiyekupenda, hali ilikuwaje?

#AzamTVUpdates
✍ Juliana James
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *