Wakazi wa kata ya Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza wametoa wito kwa serikali wajengewe soko na kituo cha mabasi ili kuchechemua biashara iliyotokana na kukamilika kwa daraja la JPM ambalo wamedia kwa sasa imeanza kudorora kutokana na kuanza kuzoeleka kwa daraja hilo miongoni mwa wakazi wa watumiaji wake.
Hata hiyo wakazi hao wameshauriwa kuangalia fursa mpya za kibiashara ili kuendana na hali ya mazingira yaliyopo sasa kama anavyoeleza Innocent Aloyce katika taarifa hii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi