#HABARI: Moto ambao unadhaniwa umesababishwa na shoti ya umeme umeteketeza maduka sita yaliyoko katika Mtaa wa Igalilimi mjini Kahama huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likishirikiana na raia wema wakifanikiwa kuokoa maduka saba kati ya kumi na tatu yaliyoko katika eneo hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.