#HABARI: Kampuni ya ndege ya Mombasa Air Safaris, imethibitisha kuwa raia kumi wa kigeni kutoka Hungary na Ujerumani na Mkenya mmoja ambaye alikuwa Rubani, wamefariki dunia katika ajali ya ndege katika Kaunti ya Kwale, wakati wakiwa safarini kutoka Diani hadi mbuga ya Masai Mara.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *