#UchaguziMkuu2025 | Hivi ndivyo hali ilivyo mapema asubuhi hii katika eneo la Kariakoo, hali ni tulivu na hakuna pilikapilika kama ilivyozoeleka katika eneo hilo.
✍ Upendo Michael
#AzamTVUpdates #UchguziMkuu2025