#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amefika na kupiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Makuti, Mbezi Malamba mawili katika Wilaya ya Kibamba, Dar es Salaam.
#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025