#UchaguziMkuu2025 | Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameshiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, mbunge na diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.

#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *