Takribani wanafunzi 150 wa shule ya msingi Kagongo, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, wanalazimika kusomea kwenye jengo lililo wazi kwa majuma matatu baada ya mvua iliyoambatana na upepo kuharibu paa la madarasa mawili, ofisi, na stoo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi