Eneo la Posta – Iringa limetengwa mahsusi kwa ajili ya wafanyabiashara wenye ulemavu wa aina mbalimbali, ikiwemo viziwi. Hata hivyo, nyuma ya pilika pilika za watu na magari katika eneo hilo kuna simulizi ya kipekee inayogusa mioyo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi