#HABARI: Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Kuzuia Magonjwa Yasioambukiza Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, imesema magonjwa hayo yameongezeka ambapo kwa mwezi inaona wagonjwa wa Kisukari watu wazima 800 hadi 1000 na vijana 30 hadi 40 huku hospitali hiyo ikiwataka wananchi kujenga tabia ya upimaji wa afya mara kwa mara.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *