#HABARI: Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemthibitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kura 369 za ndiyo.

Wabunge wamepiga kura hizo jijini Dodoma mara baada ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kumteua na kupeleka jina lake bungeni.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *