#HABARI: Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa maoni yanayounga mkono uteuzi wa Dkt. Lameck Nchemba kuwa ni kiongozi aliyeteuliwa kwa wakati sahihi kwa kuwa anazijua shida za wananchi na ameziishi.
Aidha, wamepongeza hotuba yake ya ufunguzi hasa alipogusia hatua za kuwabana watumishi wa Umma wazembe, kwamba ni matumaini ya Watanzania kuwa kutakuwa na ongezeko la uwajibikaji ndani ya Serikali.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania