#HABARI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefafanua vigezo alivyovitumia katika kupanga Baraza jipya la Mawaziri, hatua inayolenga kuimarisha utendaji wa Serikali na kuhakikisha uwakilishi mpana kwa Wazanzibari wote.

Akizungumza katika hafla maalum ya kutangaza Baraza hilo iliyofanyika Ikulu Zanzibar, Rais Mwinyi amesema uteuzi huo umezingatia mambo muhimu ikiwemo kiwango cha elimu ya viongozi, uzoefu katika utumishi wa umma, uwiano wa kijinsia, na uwakilishi wa mikoa yote mitano ya Zanzibar.

Aidha, Rais Mwinyi alieleza kuwa amehakikisha kunakuwepo na uwiano kati ya visiwa vya Unguja na Pemba ili kila eneo la Zanzibar lijihisi limewakilishwa vyema serikalini.
.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *