Jumamosi hii Novemba 15, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa dimba la Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kimataifa ya kirafiki na Kuwait.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
#FIFABreak #TaifaStars #Kuwait