Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Kiapo hicho kimehudhuriwa na viongozi waandamizi akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa.
Tazama Waziri Mkuu Nchemba akila kiapo hicho.
Imeandaliwa na Nifa Omary
Mhariri @moseskwindi