Afrika yakumbwa na mlipuko wa kipindupindu mbaya zaidi katika miaka 25
Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa Afrika (CDC) kimesema bara hilo linakabiliwa na mlipuko mbaya zaidi wa kipindupindu katika kipindi cha robo karne, hali inayochochewa na mifumo dhaifu ya maji na migogoro.