“Nimeshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia zikiendelea na taratibu za kulipa deni la matibabu kwa njia zinazolinda utu wao, kupitia mpango wa Bima ya Afya kwa wote kadhia hii ya kuzuia maiti inakwenda kukomeshwa kwa sababu gharama za matibabu zitalipwa na bima ya mtu anayekwenda kutibiwa,”-Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *