“Katika safari yetu ya kuendesha Tanzania Kidemokrasia tuko tayari kujifunza na kujirekebisha, hivyo basi niombe makundi yote ya Watanzania hasa vyama vya Siasa, tukae pamoja, tuzungumze, tuangalie tumekosea wapi turekebishe…”-Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.