Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kuanzisha wizara kamili itakayoshughulikia masuala ya vijana, pamoja na kuwa na washauri wa Rais watakaomshauri kuhusu mambo ya vijana, ikiwemo changamoto zao.

#AzamTVUpdates
✍Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *