“Serikali imeahidi kuanza kulifanyia kazi suala la mabadiliko ya katiba ndani ya siku 100 za muhula wa pili wa awamu ya sita, kwa kuanza na tume ya usuluhishi na maelewano,” — Rais Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge.

#AzamTVUpdates
✍Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *