“…Ninatambua vijana wengi waliokamatwa na kustakiwa kwa makosa ya uhaini hawakujua wanachofanya. Nikiwa mama na mlezi wa Taifa hili, ninavielekeza vyombo vya sheria, hasa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka, kuangalia kiwango cha makosa yaliyofanywa na vijana wetu. Kwa wale ambao wanaonekana walifuata mkumbo na hawakudhamiria kufanya uhalifu, wawafutie makosa yao…” — Rais Samia Suluhu Hassan.
#azamtvupdates
✍Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi