Shirika la Viwango nchini (TBS) limnezindua maadhimisho ya viwango Afrika kwa kuchagiza ukuaji wa maarifa kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali nchini kwa kuwashirikisha wanafunzi wa elimu ya juu kupitia mashindano ya uandishi wa insha za viwango.

Akitangaza maadhimisho hayo, Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Ashura Katunzi amesema kilele cha maadhimisho hayo kitakuwa Machi mwakani huku akiwahimiza washiriki wa uzalishaji na uandishi kujitahidi kuweka maarifa ili kuimarisha sekta hiyo.

Imeandaliwa na Sheila Mkumba
Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *