AFCON2025
Mechi zote 52 kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Mapema hakikisha kisimbuzi chako kina kifurushi, kama huna kisimbuzi nunua sasa ambapo kisimbuzi cha Dish full set ni shilingi 99,000 na kisimbuzi cha Antena full set ni shilingi 39,000.
Bei hizi ni nchi nzima.
#SisiNiSoka #Azamtvsports #AFCON