Gharama kubwa za matibabu na unyanyapaa ni miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watu wenye jinsi tata nchini. Hali hiyo imeelezwa kuwa kikwazo kikubwa kwa kundi hilo, ambalo sasa limeiomba Serikali kutafuta njia zaidi za kuwasaidia, ikiwemo kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza mifumo ya kibaguzi na kuimarisha upatikanaji wa huduma zinazowahusu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *