#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Albert Chalamila, ameuagiza Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART) na Taasisi zote zinazohusika na usafiri huo, kuhakikisha huduma ya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Mbagala, kuelekea katikati ya jiji hilo zinarejea haraka, kuanzia Alhamisi ya Novemba 20 mwaka huu, ili kupunguza adha ya usafiri kwa wananchi.

Ameyasema hayo Temeke mkoani Dar es Salaam, wakati wa ziara ya kutembelea baadhi ya miundombinu ya barabara ya BRT 2 inayotumiwa na mabasi ya Mwendokasi, ambayo iliharibiwa na vurugu zilizojitokeza siku ya Oktoba 29 mwaka huu.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *