Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul ameitaka serikali ya Serbia, ambayo inadumisha uhusiano wa karibu na Moscow, siku ya Jumanne, Novemba 18, kuchagua kati ya kujiunga na Umoja wa Ulaya au kufuata sera “isiyoeleweka”.
Imechapishwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara
Serbia lazima iamue kama inakusudia “kujipanga na misimamo ya Ulaya kuhusu sera za kigeni na usalama” au kuendelea “kutuma ishara zinazokinzana ambazo haziendani na maadili ya msingi ya Umoja wa Ulaya,” waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani amewaambia waandishi wa habari huko Belgrade akiambatana na mwenzake wa Serbia, Marko Djuric, kulingana na shirika la habari la AFP.
Habari zaidi zinakujia…
Kusambaza :