Shirika la Uturuki la TIKA lashirikiana na Chuo Kikuu Uganda

Shirika la Uturuki la TİKA limeimarisha uwezo wa Kitivo cha Matibabu cha Chuo Kikuu cha Kiislamu Uganda kwa mafunzo na utafiti kwa kuwapa vifaa vya kisasa vya maabara kwa maabara yao ya bayolojia na dawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *