#HABARI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Mh.Sharif Ali Sharif, amewataka Vijana wa Kitanzania kutumia fursa wanazopata kuwa wabunifu katika kusimamia na kuendesha kampuni zao ili kuchangia katika kujenga uchumi wa nchi.
Mheshimiwa Sharif ametoa rai hiyo wakati wa utoaji wa tuzo za Top 100 Executive Awards msimu wa tano, kwa kampuni za wazawa zilizofanya vizuri kwenye soko 2024-2025 ambapo amesema bunifu mpya zitawezesha Tanzania kuwa sehemu ya duani.
Kwa upande wake mratibu wa Tuzo hizo Deogratias Kilawe amesema utoaji wa tuzo hizo ni sehemu ya kuwapa motisha Watendaji wa Makampuni katika utendaji wao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.