NBC Premier League Jumatano hii
Saa 3:00 usiku, AzamFC watakuwa uwanja wa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Singida BS.
Ni mechi inayowakutanisha kocha Florient Ibenga na Miguel Gamondi kwa mara ya kwanza kwenye NBC Premier League.
Je, ni Ibenge ama Gamondi nani kuanza kuweka rekondi ya ushindi?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu mbashara kupitia AzamSports1HD.
#AzamFC #SingidaBS #SisiNiSoka #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)