Tazama video zilizotolewa na jeshi la Israel zinaonesha, kwa mujibu wa maelezo yao, wanajeshi wake wakitekeleza operesheni na kutoboa tundu la handaki katika eneo la Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
#AzamTVUpdates
✍Jairo Mtitu
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)