#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump atawakaribisha viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi kutia saini makubaliano ya amani, imesema Ikulu ya White House.
Mkutano huo unatazamiwa kuendeleza mapatano ya amani yaliyosimamiwa na Marekani yaliyofikiwa mwezi Juni na kutiwa saini na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo mbili.
Kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda lilisonga mbele mashariki mwa Congo mwaka huu, na kuteka miji mikubwa miwili ya eneo hilo na kuzusha hofu ya kutokea kwa vita vikubwa zaidi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)