Hizi ni video mbalimbali zikionesha vikosi kadhaa vya wanamaji wa Marekani vikifanya operesheni katika eneo la Puerto Rico na katika Bahari ya Caribbean, kipindi ambacho Rais wa Marekani Donald Trump amewaalika maafisa wake wa juu wa usalama wa taifa Ikulu ya White House kujadili hali ya Venezuela.
#AzamTVUpdates
✍Nifa Omary
Mhariri | John Mbalamwezi