Bunge la Korea Kusini limepitisha sheria inayopiga marufuku kurusha puto katika maeneo yasiyoruhusiwa puto kurushwa. Sheria inayolenga kuzuia kutumwa kwa propaganda za kupinga Pyongyang nchini Korea Kaskazini kwa njia ya anga, Wizara ya Muungano ya Seoul imetangaza leo Jumatano, Desemba 3.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

“Marekebisho ya Kanuni za Usalama wa Anga, ambayo yanapiga marufuku kurushwa kwa puto yoyote isiyo na rubani katika maeneo yasiyoruhusiwa puto hizo kurushwa, yalipitishwa katika kikao cha jumla cha Bunge” siku ya Jumanne, wizara imesema katika taarifa iliyotumwa kwa shirika la habari la AFP.

Habari zadi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *