Serikali ya Marekani imeagiza mawakala wa uhamiaji kusitisha shughuli za utoaji wa vibali vya urai kwa wahamiaji kutoka nchi 12 zilizopigwa marufuku kuingia nchini humo, huku nchi saba zikiwekewa vikwazo.

Mataifa yaliyopewa marufuku hiyo ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Kongo, Guine ya Ikweta, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, Yemen na mengine ya Burundi, Cuba, Laos, Sierra Leone, Togo, Turkmenistan na Venezuela yakiwekewa vikwazo yakifanya jumla ya mataifa 19.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *