Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinacholenga kuangazia uchokozi wa Urusi dhidi ya Ukraine kinafanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, ambapo nchi wanachama wanapiga kura kuhusu azimio linaloitaka Urusi kusitisha hatua ya kuwahamisha kwa nguvu watoto wa Ukraine na kuwatoa mikononi mwa familia zao, wakati vita ikiendelea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *