7 Desemba 2025

Urusi imeupongeza mkakati mpya wa usalama wa kitaifa wa Marekani na kuutaja kuwa hatua chanya kwa mahusiano baina ya nchi hiyo mbili. Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anatarajiwa kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Jerusalem. Mashambulizi ya droni jimboni Kordofan Kusini mwa Sudan yawauwa makumi ya watu.

https://p.dw.com/p/54u7w

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *