08.12.20258 Desemba 2025 Mamlaka ya Benin yatangaza kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi. Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa kukutana Jumatatu na rais wa Ukraine mjini London. Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa huko Uvira, mashariki mwa DRC. https://p.dw.com/p/54v6C Post navigation Umoja wa Afrika walaani jaribio la mapinduzi nchini Benin 08.12.2025 Matangazo ya Mchana